CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 25
Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Nyumba iliyojengwa ina paa la kupendeza.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
25) Andika wingi wa sentensi ifuatayo.
Nyumba iliyojengwa ina paa la kupendeza.
Answer
Nyumba zilizojengwa zina mapaa ya kupendeza.
Nyumba ni ya ngeli ya I-ZI: iliyojengwa huwa zilizojengwa na ina huwa zina. Paa la (LI-YA) huwa mapaa ya.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa. Yona amewapeleka mifugo wale malishoni.Question 26
- Kanusha sentensi ifuatayo kwa usahihi. Tungalitunza misitu ipasavyo tungalipata manufaa mengi.Question 27
- FASIHI 28) (a) Andika tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi.Question 28
- (b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto.Question 29
- (c) Andika sifa nne za bembelezi.Question 30
- (d) Andika sifa tatu za nyimbo za watoto.Question 31