CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 23
Akifisha sentensi ifuatayo kwa usahihi. shule ya bidii ina wanafunzi wenye nidhamu
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Alama za Uakifishaji
23) Akifisha sentensi ifuatayo kwa usahihi.
shule ya bidii ina wanafunzi wenye nidhamu
Answer
Shule ya Bidii ina wanafunzi wenye nidhamu.
Sentensi huanza kwa herufi kubwa na kuishia kwa kitone. Bidii hapa ni jina la shule, kwa hiyo huandikwa kwa herufi kubwa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Umati ni kwa watu kama vile thureya ni kwaQuestion 24
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Nyumba iliyojengwa ina paa la kupendeza.Question 25
- Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa. Yona amewapeleka mifugo wale malishoni.Question 26
- Kanusha sentensi ifuatayo kwa usahihi. Tungalitunza misitu ipasavyo tungalipata manufaa mengi.Question 27
- FASIHI 28) (a) Andika tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi.Question 28
- (b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto.Question 29