CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 20
Tumia viambishi ngeli vifaavyo kukamilisha sentensi hii. Ushirikiano wetu …... metusaidia kukamilisha kazi …... liyokuwepo kwa haraka.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viambishi Ngeli
20) Tumia viambishi ngeli vifaavyo kukamilisha sentensi hii.
Ushirikiano wetu …....... metusaidia kukamilisha kazi …....... liyokuwepo kwa haraka.
Answer
Ushirikiano wetu umetusaidia kukamilisha kazi iliyokuwepo kwa haraka.
Ushirikiano ni wa ngeli ya U-U, kwa hiyo “umetusaidia”. Kazi ni ya ngeli ya I-ZI (umoja), kwa hiyo “iliyokuwepo”.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kago alikuwa akizifua nguo zake. Kitenzi ‘alikuwa’ (kilichopigwa mstari) ni cha aina gani?Question 21
- Kamilisha jedwali lifuatalo. Andika jibu la agano ‘Alamsiki’.Question 22
- Akifisha sentensi ifuatayo kwa usahihi. shule ya bidii ina wanafunzi wenye nidhamuQuestion 23
- Umati ni kwa watu kama vile thureya ni kwaQuestion 24
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Nyumba iliyojengwa ina paa la kupendeza.Question 25
- Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa. Yona amewapeleka mifugo wale malishoni.Question 26