naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 21

Kago alikuwa akizifua nguo zake. Kitenzi ‘alikuwa’ (kilichopigwa mstari) ni cha aina gani?

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vitenzi

21) Kago alikuwa akizifua nguo zake.
Kitenzi ‘alikuwa’ (kilichopigwa mstari) ni cha aina gani?

Answer

Kitenzi kisaidizi.

‘Alikuwa’ kinasaidia kitenzi kikuu ‘akizifua’ kuonyesha wakati na hali, kwa hiyo ni kitenzi kisaidizi.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test