naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 18

Kadi zifuatazo zina nomino za aina mbalimbali. Chagua kadi yenye nomino za kawaida pekee.

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Nomino

18) Kadi zifuatazo zina nomino za aina mbalimbali. Chagua kadi yenye nomino za kawaida pekee.

  1. AMaji, Moshi, Vumbi, Sukari
  2. BKipato, Mkataba, Mkungu, bunda
  3. CAmani, Upendo, Utiifu, Wema
  4. DBaiskeli, Taa, Mkoba, kisu

Answer

D. Baiskeli, Taa, Mkoba, kisu

Baiskeli, taa, mkoba na kisu ni vitu vya kawaida vinavyohesabika. Kadi A ina nomino za wingi (zisizohesabika), C ina nomino dhahania, na B ina nomino za makundi kama mkungu na bunda.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test