naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 17

Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 17.

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

SARUFI.
Jaza pengo kwa kuchagua jibu sahihi. (alama 5)

Familia ______13______ kumhudumia mtoto kwa njia anuwai. ______14______ njia hizo ni ______15______ usalama wake hasa anapokuwa nyumbani. Mathalani, ______16______ kutiwa moyo hata pale anaposhindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ili aweze ______17______ maishani.

17) Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 17.

  1. Akumthamini
  2. Bkukudhamini
  3. CKujithamini
  4. DKujidhamini

Answer

C. Kujithamini

Mtoto akitiwa moyo anaweza kujithamini, yaani kujiona kuwa ana thamani maishani.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test