CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 16
Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 16.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
SARUFI.
Jaza pengo kwa kuchagua jibu sahihi. (alama 5)
Familia ______13______ kumhudumia mtoto kwa njia anuwai. ______14______ njia hizo ni ______15______ usalama wake hasa anapokuwa nyumbani. Mathalani, ______16______ kutiwa moyo hata pale anaposhindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ili aweze ______17______ maishani.
16) Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 16.
- Ahana budi
- Bana budi
- CWana budi
- DHawana budi
Answer
A. hana budi
“Hana budi” ina maana ya lazima: mtoto mmoja hana budi kutiwa moyo.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 17.Question 17
- Kadi zifuatazo zina nomino za aina mbalimbali. Chagua kadi yenye nomino za kawaida pekee.Question 18
- Andika sentensi ifuatayo katika wakati uliopita hali ya kuendelea. Juma atakuwa akisoma kitabu cha hadithi.Question 19
- Tumia viambishi ngeli vifaavyo kukamilisha sentensi hii. Ushirikiano wetu …... metusaidia kukamilisha kazi …...…Question 20
- Kago alikuwa akizifua nguo zake. Kitenzi ‘alikuwa’ (kilichopigwa mstari) ni cha aina gani?Question 21
- Kamilisha jedwali lifuatalo. Andika jibu la agano ‘Alamsiki’.Question 22