CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026: Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) (Test 13)
Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 50 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 50 questions with answers
- Question 1: Kifungu hiki kimezungumzia kuhusuAnswer: B. matumizi mabaya ya teknolojia kwa watoto
- Question 2: Kulingana na kifungu, watoto wengi wanashindwa masomoni kwa sababuAnswer: A. wanacheza michezo ya mtandaoni sana
- Question 3: Wazazi wanafaa kufanya nini kulingana na kifungu?Answer: C. Kuwafundisha matumizi bora ya teknolojia
- Question 4: Neno madhara lina maana sawa naAnswer: B. hasara
- Question 5: Sentensi ipi inayoonyesha matokeo ya matumizi mabaya ya teknolojia?Answer: C. Wanafunzi hupata usingizi shuleni
- Question 6: Mwandishi ametoa wito gani?Answer: B. Wazazi wachukue jukumu la malezi
- Question 7: Shule ya Mlimani hufanya shughuli hii iliAnswer: B. kuhimiza afya na usafi
- Question 8: Kulingana na kifungu, kazi hizo hufanywaAnswer: B. kila mwaka
- Question 9: Wimbo uliotajwa katika kifungu una maana yaAnswer: C. kuhimiza usafi na afya
- Question 10: Neno hamasisha lina maana sawa naAnswer: C. himiza
- Question 11: Wanafunzi huonekana vipi baada ya shughuli?Answer: C. Wanafuraha
- Question 12: Tunajifunza kuwa …Answer: B. Mazingira safi huleta afya
- Question 13: Nomino mtoto ni ya ngeli gani?Answer: C. M-WA
- Question 14: Neno wanafunzi liko katika wingi wa nenoAnswer: A. mwanafunzi
- Question 15: Kitenzi katika sentensi “Asha anaimba wimbo mzuri” niAnswer: B. anaimba
- Question 16: Kivumishi katika sentensi “Nyumba kubwa imejengwa” niAnswer: C. kubwa
- Question 17: Chagua sentensi yenye kiwakilishi cha nafsi ya kwanza.Answer: B. Mimi nilichelewa shule
- Question 18: Kielezi kinachoonyesha mahali kiko katika sentensi gani?Answer: B. Walicheza uwanjani
- Question 19: Viunganishi viko katika sentensi ipi?Answer: B. Mama na baba walienda sokoni
- Question 20: Chagua kitenzi cha hali ya kutendwa.Answer: C. Kuimbwa
- Question 21: Sentensi ipi ni ya kishangao?Answer: B. Mbona ulifika mapema!
- Question 22: Kinyume cha neno ngumu niAnswer: B. rahisi
- Question 23: Weka kivumishi sahihi: Kitabu ___ kimepotea.Answer: A. chetu
- Question 24: Ukanusho wa “Aliandika barua” niAnswer: A. Hakuandika barua
- Question 25: Chagua nomino ya wingi.Answer: C. vitabu
- Question 26: Methali: “Asiyefunzwa na mama hufunzwa na ulimwengu” inatufunza nini?Answer: C. Malezi ni muhimu
- Question 27: Nahau: “Kula chumvi nyingi” maana yake niAnswer: B. mtu mwenye uzoefu
- Question 28: Chagua usemi halisi wa: Mwalimu alisema kwamba tutafanya mtihani kesho.Answer: A. “Tutafanya mtihani kesho,” alisema mwalimu.
- Question 29: Neno ng’ombe liko katika ngeli yaAnswer: B. M-WA
- Question 30: Usemi “aliziba masikio” maana yake niAnswer: A. hakutaka kusikia ushauri
- Question 31: Neno lenye kinyume cha furaha niAnswer: B. huzuni
- Question 32: Methali “Mvumilivu hula mbivu” inamaanishaAnswer: A. Aliye na subira hufanikiwa
- Question 33: Nahau “Kula kwa macho” inamaanishaAnswer: B. kupenda vitu bila kuvipata
- Question 34: Maneno mwalimu, mwanafunzi, shule ni aina yaAnswer: B. nomino
- Question 35: Uhusiano wa maneno: daktari : hospitali :: mwalimu : ?Answer: A. shule
- Question 36: Kitenzi amelala kiko katika hali gani?Answer: D. Ya kumalizika
- Question 37: Chagua kitenzi kishirikishi.Answer: A. ni
- Question 38: Neno “nyumba” linapatikana katika ngeli gani?Answer: A. N/N
- Question 39: Wingi wa neno tunda niAnswer: A. matunda
- Question 40: Chagua sentensi yenye kivumishi cha umbo.Answer: C. Samaki mkubwa amevuliwa
- Question 41: Kiwakilishi cha nafsi ya pili wingi niAnswer: C. nyinyi
- Question 42: Kielezi cha wakati kipo katika sentensi ipi?Answer: A. Tutakula kesho
- Question 43: Maneno “rahisi : gumu” yana uhusiano waAnswer: A. kinyume
- Question 44: Neno “amepika” lina kiambishi tamati gani?Answer: B. –a
- Question 45: Uhusiano wa maneno: Samaki : Maji :: Ndege : ?Answer: A. anga
- Question 46: Neno “maadili” lina maana yaAnswer: B. tabia njema
- Question 47: Methali “Haraka haraka haina baraka” inamaanishaAnswer: B. Kufanya mambo haraka huleta hasara
- Question 48: Neno gharama lina maana sawa naAnswer: A. bei
- Question 49: “Kila ndege huruka kwa mbawa zake” maana yake niAnswer: A. Kila mtu ana uwezo wake
- Question 50: Methali ipi inafaa kumpa mtu asiye sikia ushauri?Answer: B. Asiyesikia la mkuu huvunjika guu