CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 33
Nahau “Kula kwa macho” inamaanisha
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nahau
33. Nahau “Kula kwa macho” inamaanisha
- Akutazama chakula
- Bkupenda vitu bila kuvipata
- Ckula haraka
- Dkuonja
Answer
B. kupenda vitu bila kuvipata
Kula kwa macho ni kutamani kitu bila kukipata.