CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 37
Chagua kitenzi kishirikishi.
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vitenzi
37. Chagua kitenzi kishirikishi.
- Ani
- Bkula
- Ccheka
- Dsoma
Answer
A. ni
"Ni" huunganisha kiima na sifa yake.