CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 38
Neno “nyumba” linapatikana katika ngeli gani?
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
38. Neno “nyumba” linapatikana katika ngeli gani?
- AN/N
- BKI-VI
- CM-WA
- DLI-YA
Answer
A. N/N
Nyumba – nyumba: umoja na wingi ni sawa (N/N, yaani I-ZI).