CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 44
Neno “amepika” lina kiambishi tamati gani?
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viambishi
44. Neno “amepika” lina kiambishi tamati gani?
- A–ka
- B–a
- C–me
- D-li
Answer
B. –a
Kiambishi tamati huwa mwishoni mwa kitenzi: a-me-pik-a. -me- ni kiambishi cha wakati kilicho kabla ya mzizi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Uhusiano wa maneno: Samaki : Maji :: Ndege : ?Question 45
- Neno “maadili” lina maana yaQuestion 46
- Methali “Haraka haraka haina baraka” inamaanishaQuestion 47
- Neno gharama lina maana sawa naQuestion 48
- “Kila ndege huruka kwa mbawa zake” maana yake niQuestion 49
- Methali ipi inafaa kumpa mtu asiye sikia ushauri?Question 50