CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 50
Methali ipi inafaa kumpa mtu asiye sikia ushauri?
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
50. Methali ipi inafaa kumpa mtu asiye sikia ushauri?
- AAhadi ni deni
- BAsiyesikia la mkuu huvunjika guu
- CSamaki mkunje angali mbichi
- DMgala muue lakini haki mpe
Answer
B. Asiyesikia la mkuu huvunjika guu
Asiyesikiliza ushauri wa wakubwa hupata madhara.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kifungu hiki kimezungumzia kuhusuQuestion 1
- Kulingana na kifungu, watoto wengi wanashindwa masomoni kwa sababuQuestion 2
- Wazazi wanafaa kufanya nini kulingana na kifungu?Question 3
- Neno madhara lina maana sawa naQuestion 4
- Sentensi ipi inayoonyesha matokeo ya matumizi mabaya ya teknolojia?Question 5
- Mwandishi ametoa wito gani?Question 6