CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 4
Neno madhara lina maana sawa na
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Makala
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali ya 1 hadi 6.
Watoto wengi siku hizi hutumia muda mwingi kucheza michezo ya mtandaoni kuliko kufanya mambo ya maana kama kujisomea au kusaidia wazazi wao. Wengine huzoea kutumia simu hadi usiku wa manane. Hali hii imewafanya kuwa na uchovu shuleni na kushindwa kufuata mafunzo ipasavyo. Wazazi wengi wameanza kulalamika kuwa watoto wao hawataki kufanya kazi wala kushiriki shughuli za kijamii.
Walimu nao wanasema kuwa baadhi ya wanafunzi hawazingatii somo kwa sababu ya simu na michezo ya kompyuta. Ni vyema wazazi wakachukua jukumu la kuwafunza watoto kutumia teknolojia kwa njia bora. Teknolojia ni nzuri ikiwa inatumika ipasavyo, lakini inapotumika vibaya, huleta madhara makubwa.
4. Neno madhara lina maana sawa na
- Aadhabu
- Bhasara
- Cfaida
- Dmafunzo
Answer
B. hasara
Madhara ni hasara au matokeo mabaya.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Sentensi ipi inayoonyesha matokeo ya matumizi mabaya ya teknolojia?Question 5
- Mwandishi ametoa wito gani?Question 6
- Shule ya Mlimani hufanya shughuli hii iliQuestion 7
- Kulingana na kifungu, kazi hizo hufanywaQuestion 8
- Wimbo uliotajwa katika kifungu una maana yaQuestion 9
- Neno hamasisha lina maana sawa naQuestion 10