CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 36
Kitenzi amelala kiko katika hali gani?
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Hali za Vitenzi
36. Kitenzi amelala kiko katika hali gani?
- AYa sasa
- BYa kutendwa
- CYa kutendeka
- DYa kumalizika
Answer
D. Ya kumalizika
Kiambishi -me- huonyesha kitendo kilichokamilika: hali ya kumalizika (timilifu).