CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 13
Nomino mtoto ni ya ngeli gani?
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
13. Nomino mtoto ni ya ngeli gani?
- AU-ZI
- BKI-VI
- CM-WA
- DLI-YA
Answer
C. M-WA
Mtoto – watoto: ngeli ya M-WA (A-WA).
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Neno wanafunzi liko katika wingi wa nenoQuestion 14
- Kitenzi katika sentensi “Asha anaimba wimbo mzuri” niQuestion 15
- Kivumishi katika sentensi “Nyumba kubwa imejengwa” niQuestion 16
- Chagua sentensi yenye kiwakilishi cha nafsi ya kwanza.Question 17
- Kielezi kinachoonyesha mahali kiko katika sentensi gani?Question 18
- Viunganishi viko katika sentensi ipi?Question 19