CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 17
Chagua sentensi yenye kiwakilishi cha nafsi ya kwanza.
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
17. Chagua sentensi yenye kiwakilishi cha nafsi ya kwanza.
- AWao wanapenda michezo
- BMimi nilichelewa shule
- CWewe unasoma vitabu
- DYeye alikula mapema
Answer
B. Mimi nilichelewa shule
Mimi ni nafsi ya kwanza umoja.