CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 19
Viunganishi viko katika sentensi ipi?
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viunganishi
19. Viunganishi viko katika sentensi ipi?
- AMtoto anacheka
- BMama na baba walienda sokoni
- CWao walirudi jana
- DNilimwona rafiki yangu
Answer
B. Mama na baba walienda sokoni
"Na" kinaunganisha mama na baba.