CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 24
Ukanusho wa “Aliandika barua” ni
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanusho
24. Ukanusho wa “Aliandika barua” ni
- AHakuandika barua
- BHataandika barua
- CHaandiki barua
- DHangeandika barua
Answer
A. Hakuandika barua
Wakati uliopita (-li-) hukanushwa kwa -ku-: hakuandika.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua nomino ya wingi.Question 25
- Methali: “Asiyefunzwa na mama hufunzwa na ulimwengu” inatufunza nini?Question 26
- Nahau: “Kula chumvi nyingi” maana yake niQuestion 27
- Chagua usemi halisi wa: Mwalimu alisema kwamba tutafanya mtihani kesho.Question 28
- Neno ng’ombe liko katika ngeli yaQuestion 29
- Usemi “aliziba masikio” maana yake niQuestion 30