CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 26
Methali: “Asiyefunzwa na mama hufunzwa na ulimwengu” inatufunza nini?
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
26. Methali: “Asiyefunzwa na mama hufunzwa na ulimwengu” inatufunza nini?
- AUmaskini ni adui
- BMaisha ni magumu
- CMalezi ni muhimu
- DDunia ni hatari
Answer
C. Malezi ni muhimu
Mtoto asiyelelewa vyema nyumbani hujifunza kwa shida maishani.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Nahau: “Kula chumvi nyingi” maana yake niQuestion 27
- Chagua usemi halisi wa: Mwalimu alisema kwamba tutafanya mtihani kesho.Question 28
- Neno ng’ombe liko katika ngeli yaQuestion 29
- Usemi “aliziba masikio” maana yake niQuestion 30
- Neno lenye kinyume cha furaha niQuestion 31
- Methali “Mvumilivu hula mbivu” inamaanishaQuestion 32