CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 30
Usemi “aliziba masikio” maana yake ni
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nahau
30. Usemi “aliziba masikio” maana yake ni
- Ahakutaka kusikia ushauri
- Balikuwa na maumivu ya masikio
- Calilala
- Dalihofia kitu
Answer
A. hakutaka kusikia ushauri
Kuziba masikio ni kukataa kusikiliza.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Neno lenye kinyume cha furaha niQuestion 31
- Methali “Mvumilivu hula mbivu” inamaanishaQuestion 32
- Nahau “Kula kwa macho” inamaanishaQuestion 33
- Maneno mwalimu, mwanafunzi, shule ni aina yaQuestion 34
- Uhusiano wa maneno: daktari : hospitali :: mwalimu : ?Question 35
- Kitenzi amelala kiko katika hali gani?Question 36