CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 27
Nahau: “Kula chumvi nyingi” maana yake ni
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nahau
27. Nahau: “Kula chumvi nyingi” maana yake ni
- Amtu mwenye wivu
- Bmtu mwenye uzoefu
- Cmtu mwenye uchungu
- Dmtu mwenye tamaa
Answer
B. mtu mwenye uzoefu
Kula chumvi nyingi ni kuishi miaka mingi, yaani kuwa na uzoefu.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua usemi halisi wa: Mwalimu alisema kwamba tutafanya mtihani kesho.Question 28
- Neno ng’ombe liko katika ngeli yaQuestion 29
- Usemi “aliziba masikio” maana yake niQuestion 30
- Neno lenye kinyume cha furaha niQuestion 31
- Methali “Mvumilivu hula mbivu” inamaanishaQuestion 32
- Nahau “Kula kwa macho” inamaanishaQuestion 33