CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 18
Kielezi kinachoonyesha mahali kiko katika sentensi gani?
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vielezi
18. Kielezi kinachoonyesha mahali kiko katika sentensi gani?
- AWanaimba vizuri
- BWalicheza uwanjani
- CAtakuja kesho
- DTulijifunza kwa bidii
Answer
B. Walicheza uwanjani
Uwanjani kinaonyesha mahali.