CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 20
Chagua kitenzi cha hali ya kutendwa.
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
20. Chagua kitenzi cha hali ya kutendwa.
- AKucheza
- BKuosha
- CKuimbwa
- DKula
Answer
C. Kuimbwa
Kiambishi -w- huonyesha kutendwa: kuimba → kuimbwa.