CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 16
Kivumishi katika sentensi “Nyumba kubwa imejengwa” ni
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
16. Kivumishi katika sentensi “Nyumba kubwa imejengwa” ni
- Anyumba
- Bimejengwa
- Ckubwa
- Dime
Answer
C. kubwa
Kubwa inaeleza nyumba ilivyo.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi yenye kiwakilishi cha nafsi ya kwanza.Question 17
- Kielezi kinachoonyesha mahali kiko katika sentensi gani?Question 18
- Viunganishi viko katika sentensi ipi?Question 19
- Chagua kitenzi cha hali ya kutendwa.Question 20
- Sentensi ipi ni ya kishangao?Question 21
- Kinyume cha neno ngumu niQuestion 22