CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision Paper 5 (2026)
Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · Revision Paper 5 (2026) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Wagonjwa walingoja daktari wakiwa wapi?Answer: B. Pambajioni
- Question 2: Mgonjwa alikuwa na shida gani?Answer: B. Maumivu ya tumbo na kutapika
- Question 3: Neno lenye maana sawa na daktari niAnswer: A. tabibu
- Question 4: Ni nani alimpatia mgonjwa dawa?Answer: C. Mhudumu
- Question 5: Ni maagano yapi yametumika katika kifungu hiki?Answer: D. Kwaheri
- Question 6: Kulingana na sentensi ya pili, marafiki waliotajwa ni wangapi?Answer: C. Wanne
- Question 7: Ni kweli kusema kuwaAnswer: A. marafiki hawa hawakutaka kuachana.
- Question 8: Ni nani aling'oa miche shambani?Answer: D. Sungura
- Question 9: Ni mnyama yupi alitengeneza mtego?Answer: B. Kobe
- Question 10: Wanafunzi walijibu swali la mwalimu wakiwa wapi?Answer: C. Darasani
- Question 11: Ni wanafunzi wangapi walijibu swali la mwalimu?Answer: C. Wanne
- Question 12: Ni chakula gani kinapendwa na kila mwanafunzi?Answer: A. Chapati
- Question 13: Wanafunzi hawa waliishi kijiji gani?Answer: B. Madongoporomoka
- Question 14: Kila mara walipatana iliAnswer: C. kudurusu
- Question 15: Walipatana kwa kina Nyakemwa siku gani?Answer: A. Jumapili
- Question 16: Wiki ___16___Answer: C. iliyopita
- Question 17: mimi na mama ___17___Answer: A. yangu
- Question 18: Niliomba mama anipe ___18___Answer: C. moja
- Question 19: ili ___19___Answer: A. nile
- Question 20: Alikataa ___20___Answer: C. katakata
- Question 21: Ukipatana na mzee utamsalimuAnswer: A. shikamoo
- Question 22: Nomino ni ipi katika sentensi hii: Tulipofika kwake tulimpata akila wali.Answer: B. wali
- Question 23: Maneno yafuatayo ni vitenzi isipokuwaAnswer: D. kitabu
- Question 24: Kipi ni kivumishi katika sentensi hii: Mtoto mchafu alitolewa nje ya darasa.Answer: C. mchafu
- Question 25: Andika katika wingi: Chakula kimepikwa na mtoto.Answer: C. Vyakula vimepikwa na watoto.
- Question 26: Chagua mnyama asiyefugwa nyumbani.Answer: D. mbwa mwitu
- Question 27: Jibu la maagano alamsiki niAnswer: B. binuru
- Question 28: Ni neno lipi kati ya haya litakuja mwanzo katika kamusiAnswer: B. chakula
- Question 29: Mpera hutupatia mapera nao mgomba hutupatiaAnswer: B. ndizi
- Question 30: Kamilisha methali. Polepole___Answer: B. ndio mwendo