CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23
Maneno yafuatayo ni vitenzi isipokuwa
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Katika swali la 21-30, Chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.
23. Maneno yafuatayo ni vitenzi isipokuwa
- Acheza
- Bimba
- Clala
- Dkitabu
Answer
D. kitabu
Cheza, imba na lala ni vitendo (vitenzi). "Kitabu" ni jina la kitu, yaani nomino.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Kipi ni kivumishi katika sentensi hii: Mtoto mchafu alitolewa nje ya darasa.Question 24
- Andika katika wingi: Chakula kimepikwa na mtoto.Question 25
- Chagua mnyama asiyefugwa nyumbani.Question 26
- Jibu la maagano alamsiki niQuestion 27
- Ni neno lipi kati ya haya litakuja mwanzo katika kamusiQuestion 28
- Mpera hutupatia mapera nao mgomba hutupatiaQuestion 29