CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27
Jibu la maagano alamsiki ni
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maamkuzi na Maagano
Katika swali la 21-30, Chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.
27. Jibu la maagano alamsiki ni
- Anawe pia
- Bbinuru
- Cmajaliwa
- Dya fanaka
Answer
B. binuru
Mtu akikuaga kwa kusema "alamsiki", unajibu "binuru".