naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 2

Mgonjwa alikuwa na shida gani?

From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1-5.

(Ni zahanatini pambajioni pamejaa wagonjwa wanaosubiri zamu yao kutibiwa. Daktari anamkaribisha mgonjwa chumbani na kumwashiria kuketi kitini.)

Daktari: Karibu sana na ninakuombea afueni ya haraka.
Mgonjwa: Asante sana daktari. Hujambo?
Daktari: Sijambo. Una tatizo gani?
Mgonjwa: Nina maumivu ya tumboni. Niliaanza kuumwa jana jioni.
Daktari: Una shida nyingine.
Mgonjwa: Ndio. Nilitapika mara moja leo asubuhi.
Daktari: Pole utapona.
Mgonjwa: Nashukuru.
Daktari: Naomba nikupime joto la mwili. Tafadhali vua sweta nikupime. (Baada ya muda mfupi) Naona joto liko juu kidogo. Dawa nitakazokupatia zitakusaidia.
Mgonjwa: Asante tabibu.
Daktari: Nimeshatuma maelezo ya dawa kwa mhudumu wa duka la dawa kupitia intaneti. Nenda kule atakupa. Utapona. Kwaheri.
Mgonjwa: Asante daktari.

2. Mgonjwa alikuwa na shida gani?

  1. AMauvivu ya mwili
  2. BMaumivu ya tumbo na kutapika
  3. CKutoumwa na tumbo
  4. DKushindwa na mlo

Answer

B. Maumivu ya tumbo na kutapika

Mgonjwa alisema ana maumivu ya tumboni, na pia alitapika mara moja asubuhi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test