CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 4
Ni nani alimpatia mgonjwa dawa?
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1-5.
(Ni zahanatini pambajioni pamejaa wagonjwa wanaosubiri zamu yao kutibiwa. Daktari anamkaribisha mgonjwa chumbani na kumwashiria kuketi kitini.)
Daktari: Karibu sana na ninakuombea afueni ya haraka.
Mgonjwa: Asante sana daktari. Hujambo?
Daktari: Sijambo. Una tatizo gani?
Mgonjwa: Nina maumivu ya tumboni. Niliaanza kuumwa jana jioni.
Daktari: Una shida nyingine.
Mgonjwa: Ndio. Nilitapika mara moja leo asubuhi.
Daktari: Pole utapona.
Mgonjwa: Nashukuru.
Daktari: Naomba nikupime joto la mwili. Tafadhali vua sweta nikupime. (Baada ya muda mfupi) Naona joto liko juu kidogo. Dawa nitakazokupatia zitakusaidia.
Mgonjwa: Asante tabibu.
Daktari: Nimeshatuma maelezo ya dawa kwa mhudumu wa duka la dawa kupitia intaneti. Nenda kule atakupa. Utapona. Kwaheri.
Mgonjwa: Asante daktari.
4. Ni nani alimpatia mgonjwa dawa?
- ADaktari
- BHakuna
- CMhudumu
- DMuuguzi
Answer
C. Mhudumu
Daktari alituma maelezo ya dawa kwa mhudumu wa duka la dawa, na akamwambia mgonjwa: "Nenda kule atakupa."
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni maagano yapi yametumika katika kifungu hiki?Question 5
- Kulingana na sentensi ya pili, marafiki waliotajwa ni wangapi?Question 6
- Ni kweli kusema kuwaQuestion 7
- Ni nani aling'oa miche shambani?Question 8
- Ni mnyama yupi alitengeneza mtego?Question 9
- Wanafunzi walijibu swali la mwalimu wakiwa wapi?Question 10