CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9
Ni mnyama yupi alitengeneza mtego?
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 6 hadi 9.
Hapo zamani za kale paliondokea marafiki ambao walipendana kama chanda na pete. Walishirikiana kwa kila jambo. Marafiki hawa walikuwa nyati, kifaru, ndovu na kobe. Marafiki hawa hawakutaka kutenganishwa. Japo sungura alitaka wakosane, walikuwa na upendo wa dhati.
Siku moja sungura alitumia ujanja wake ili wakosane. Kila walipofanya kazi, siku iliyofuata walikuta kazi yao imeharibiwa kuna siku walipanda miche pamoja. Walipokuja siku iliyofuata, walikuta imeng'olewa. Walizozana sana kwa kuwa hakuna mnyama hata mmoja alikaribia shamba lao. Kobe alitumia busara yake ili kujua aliyekuwa akiuharibu urafiki wao. Alitengeneza mtego wa nyavu. Marafiki zake hawakujua alikuwa ametengeneza mtego.
9. Ni mnyama yupi alitengeneza mtego?
- ANdovu
- BKobe
- CSungura
- DNyati
Answer
B. Kobe
Kifungu kinasema kobe alitumia busara yake na "alitengeneza mtego wa nyavu".
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Wanafunzi walijibu swali la mwalimu wakiwa wapi?Question 10
- Ni wanafunzi wangapi walijibu swali la mwalimu?Question 11
- Ni chakula gani kinapendwa na kila mwanafunzi?Question 12
- Wanafunzi hawa waliishi kijiji gani?Question 13
- Kila mara walipatana iliQuestion 14
- Walipatana kwa kina Nyakemwa siku gani?Question 15