naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 13

Wanafunzi hawa waliishi kijiji gani?

From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu swali la 13 hadi 15.

Nyakemwa na Felister walisomea shule ya Utubora. Waliishi katika kijiji cha Madongoporomoka. Ilikuwa kawaida yao kukutana mara kwa mara ili kudurusu pamoja. Jumapili iliyopita baada ya kanisa walipatana nyumbani kwa kina Nyakemwa. Walikuwa na tathmini ya kati ya muhula na waliamua kudurusu hisabati na kiingereza pamoja.

13. Wanafunzi hawa waliishi kijiji gani?

  1. AUtubora
  2. BMadongoporomoka
  3. CMamboleo
  4. DHatujaambiwa

Answer

B. Madongoporomoka

Taarifa inasema waliishi katika kijiji cha Madongoporomoka. Utubora ni jina la shule yao.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test