naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 15

Walipatana kwa kina Nyakemwa siku gani?

From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu swali la 13 hadi 15.

Nyakemwa na Felister walisomea shule ya Utubora. Waliishi katika kijiji cha Madongoporomoka. Ilikuwa kawaida yao kukutana mara kwa mara ili kudurusu pamoja. Jumapili iliyopita baada ya kanisa walipatana nyumbani kwa kina Nyakemwa. Walikuwa na tathmini ya kati ya muhula na waliamua kudurusu hisabati na kiingereza pamoja.

15. Walipatana kwa kina Nyakemwa siku gani?

  1. AJumapili
  2. BJumamosi
  3. CJumatatu
  4. DJumatano

Answer

A. Jumapili

Walipatana Jumapili iliyopita baada ya kanisa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test