CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 18
Niliomba mama anipe ___18___
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi 16 hadi 20. Umepewa majibu manne hapo. Jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Wiki ___16___ mimi na mama ___17___ tulienda sokoni kununua matunda. Tulipofika sokoni, tulianza kwa kununua maembe. Niliomba mama anipe ___18___ ili ___19___. Alikataa ___20___ kwa sababu hayakuwa yameoshwa.
18. Niliomba mama anipe ___18___
- Ammoja
- Bkamoja
- Cmoja
- Dwamoja
Answer
C. moja
Embe ni la ngeli ya LI-YA; kwa idadi tunasema "embe moja", kwa hivyo "anipe moja".
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- ili ___19___Question 19
- Alikataa ___20___Question 20
- Ukipatana na mzee utamsalimuQuestion 21
- Nomino ni ipi katika sentensi hii: Tulipofika kwake tulimpata akila wali.Question 22
- Maneno yafuatayo ni vitenzi isipokuwaQuestion 23
- Kipi ni kivumishi katika sentensi hii: Mtoto mchafu alitolewa nje ya darasa.Question 24