CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21
Ukipatana na mzee utamsalimu
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maamkuzi na Maagano
Katika swali la 21-30, Chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.
21. Ukipatana na mzee utamsalimu
- Ashikamoo
- Bsasa
- Chabari yako
- Dwambaje
Answer
A. shikamoo
Tunamsalimu mzee kwa heshima kwa kusema "shikamoo".
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Nomino ni ipi katika sentensi hii: Tulipofika kwake tulimpata akila wali.Question 22
- Maneno yafuatayo ni vitenzi isipokuwaQuestion 23
- Kipi ni kivumishi katika sentensi hii: Mtoto mchafu alitolewa nje ya darasa.Question 24
- Andika katika wingi: Chakula kimepikwa na mtoto.Question 25
- Chagua mnyama asiyefugwa nyumbani.Question 26
- Jibu la maagano alamsiki niQuestion 27