naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25

Andika katika wingi: Chakula kimepikwa na mtoto.

From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi

Katika swali la 21-30, Chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.

25. Andika katika wingi:

Chakula kimepikwa na mtoto.

  1. AChakula kimepikwa na watoto.
  2. BChakula hakijapikwa na mtoto.
  3. CVyakula vimepikwa na watoto.
  4. DChakula kimeliwa na watoto.

Answer

C. Vyakula vimepikwa na watoto.

Wingi wa chakula ni vyakula, na wa mtoto ni watoto: "Vyakula vimepikwa na watoto."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test