CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 30
Kamilisha methali. Polepole___
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
Katika swali la 21-30, Chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.
30. Kamilisha methali.
Polepole______
- Ahuleta hasara
- Bndio mwendo
- Chatujalewa
- Dhaina baraka
Answer
B. ndio mwendo
Methali kamili ni "Polepole ndio mwendo": ukifanya jambo kwa utaratibu utafika mbali.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Wagonjwa walingoja daktari wakiwa wapi?Question 1
- Mgonjwa alikuwa na shida gani?Question 2
- Neno lenye maana sawa na daktari niQuestion 3
- Ni nani alimpatia mgonjwa dawa?Question 4
- Ni maagano yapi yametumika katika kifungu hiki?Question 5
- Kulingana na sentensi ya pili, marafiki waliotajwa ni wangapi?Question 6