naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29

Mpera hutupatia mapera nao mgomba hutupatia

From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

Katika swali la 21-30, Chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.

29. Mpera hutupatia mapera nao mgomba hutupatia

  1. Ampunga
  2. Bndizi
  3. Cndimu
  4. Dmchele

Answer

B. ndizi

Mgomba ni mmea unaozaa ndizi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test