CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 28
Ni neno lipi kati ya haya litakuja mwanzo katika kamusi
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Katika swali la 21-30, Chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.
28. Ni neno lipi kati ya haya litakuja mwanzo katika kamusi
- Ashule
- Bchakula
- Cjanazi
- Dzulia
Answer
B. chakula
Kamusi hupanga maneno kwa mpangilio wa alfabeti. "Chakula" (ch) hutangulia janazi (j), shule (sh) na zulia (z).