naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24

Kipi ni kivumishi katika sentensi hii: Mtoto mchafu alitolewa nje ya darasa.

From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

Katika swali la 21-30, Chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.

24. Kipi ni kivumishi katika sentensi hii:

Mtoto mchafu alitolewa nje ya darasa.

  1. Anje ya
  2. Bdarasa
  3. Cmchafu
  4. Dmtoto

Answer

C. mchafu

Kivumishi hueleza zaidi kuhusu nomino. "Mchafu" kinaeleza mtoto alivyo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test