naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 26

Chagua mnyama asiyefugwa nyumbani.

From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

Katika swali la 21-30, Chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.

26. Chagua mnyama asiyefugwa nyumbani.

  1. Ambuzi
  2. Bpunda
  3. Cfarasi
  4. Dmbwa mwitu

Answer

D. mbwa mwitu

Mbwa mwitu ni mnyama wa porini; mbuzi, punda na farasi hufugwa nyumbani.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test