CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22
Nomino ni ipi katika sentensi hii: Tulipofika kwake tulimpata akila wali.
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Katika swali la 21-30, Chagua jibu sahihi kulingana na maagizo uliyopewa.
22. Nomino ni ipi katika sentensi hii:
Tulipofika kwake tulimpata akila wali.
- Atulimpata
- Bwali
- Cakila
- Dkwake
Answer
B. wali
Nomino ni jina la kitu. "Wali" ni jina la chakula, kwa hivyo ni nomino.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Maneno yafuatayo ni vitenzi isipokuwaQuestion 23
- Kipi ni kivumishi katika sentensi hii: Mtoto mchafu alitolewa nje ya darasa.Question 24
- Andika katika wingi: Chakula kimepikwa na mtoto.Question 25
- Chagua mnyama asiyefugwa nyumbani.Question 26
- Jibu la maagano alamsiki niQuestion 27
- Ni neno lipi kati ya haya litakuja mwanzo katika kamusiQuestion 28