CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 17
mimi na mama ___17___
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi 16 hadi 20. Umepewa majibu manne hapo. Jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Wiki ___16___ mimi na mama ___17___ tulienda sokoni kununua matunda. Tulipofika sokoni, tulianza kwa kununua maembe. Niliomba mama anipe ___18___ ili ___19___. Alikataa ___20___ kwa sababu hayakuwa yameoshwa.
17. mimi na mama ___17___
- Ayangu
- Bchangu
- Cwangu
- Dlangu
Answer
A. yangu
Tunasema "mama yangu", kama vile "baba yangu".