naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10

Wanafunzi walijibu swali la mwalimu wakiwa wapi?

From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu swali la 10 hadi 12.

Mwalimu alipoingia darasani, aliwauliza wanafunzi wataje vyakula wapendavyo. Juma alisema anapenda chapati, nyama ya kuku na wali. Zawadi akasema anapenda chapati, maharagwe na nyama ya mbuzi. Hekima akasema anapenda chapati, nyama ya ng'ombe na sukumawiki naye Amina akasema anapenda sukuma, chapati na nyama ya bata.

10. Wanafunzi walijibu swali la mwalimu wakiwa wapi?

  1. AKanisani
  2. BUwanjani
  3. CDarasani
  4. DMajilisini

Answer

C. Darasani

Mwalimu aliwauliza wanafunzi swali alipoingia darasani.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test