CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 11
Ni wanafunzi wangapi walijibu swali la mwalimu?
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu swali la 10 hadi 12.
Mwalimu alipoingia darasani, aliwauliza wanafunzi wataje vyakula wapendavyo. Juma alisema anapenda chapati, nyama ya kuku na wali. Zawadi akasema anapenda chapati, maharagwe na nyama ya mbuzi. Hekima akasema anapenda chapati, nyama ya ng'ombe na sukumawiki naye Amina akasema anapenda sukuma, chapati na nyama ya bata.
11. Ni wanafunzi wangapi walijibu swali la mwalimu?
- AWawili
- BWatatu
- CWanne
- DWatano
Answer
C. Wanne
Juma, Zawadi, Hekima na Amina walijibu: wanafunzi wanne.