CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam: Revision 1 Kiswahili Karatasi 1
Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 50 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi.
All 50 questions with answers
- Question 1: Kila sikuya Dominika Jamila alifanyanini?Answer: B. Kufanya usafi nyumbani kwao
- Question 2: Je, nikazi ganikati ya hizihaikufanywanaJamila siku ya Jumapili?Answer: C. Kukaa na bibi nyumbani
- Question 3: Je, unadhani ni nini kingetokea iwapo Jamila hangefanya usafi wa nyumbani?Answer: A. Wote wangepata magonjwa yanayotokana na uchafu.
- Question 4: Ni jibu lipi linaloonyesha mfuatano ufaao wa matendo ambayo Jamila alifanya kila siku ya Dominika?Answer: D. Kufuta vumbi, kupiga deki, kufagia chumba cha kuku na kuandaa chamcha.
- Question 5: Kauli ‘piga deki’ ni mbinu gani ya lugha?Answer: A. Nahau
- Question 6: Uchafu wa vumbi husababisha ugonjwa waAnswer: C. mafua
- Question 7: Kulingana na aya ya kwanza, Paka alitoa wapi shamba waliloishi na Panya?Answer: B. Kurithishwa na baba yake
- Question 8: Ni orodha gani inaonyesha mimea ambayo Paka na Panya walipanda?Answer: A. Mahindi, maharagwe na viazi vitamu.
- Question 9: Unadhani ni kwanini urafiki wa Paka na Panya ulisambaratika?Answer: B. Kwa sababu ya kutoaminiana
- Question 10: Unadhani nini kingetokea iwapo Panya angefanya ulinzi wake vizuri?Answer: C. Paka na Panya wangeendelea kuwa marafiki.
- Question 11: Enda mrama ina maana gani? A Jambo zuri kutendeka.Answer: B. Jambo baya kutendeka
- Question 12: A Jambo zuri kutendeka.Answer: A. Zaraa
- Question 13: Kwamujibuwaayayakwanza, Metinaalipenda nini?Answer: A. Kuboresha mazingira
- Question 14: Siku moja Metina aligundua nini?Answer: D. Watu walikata miti na kutupa taka ovyo.
- Question 15: Unadhani ni nini kingetokea iwapo watu wangeendelea kukata miti na kutupa taka ovyo?Answer: A. Mazao yangeendelea kudidimia kabisa.
- Question 16: Ni kauli gani inaonyesha kuwa Metina ni msichana mwenye hekima na busara?Answer: B. Alishawishi watu wakapanda miti.
- Question 17: Chagua orodha iliyo na maliasili pekee.Answer: C. Maji, misitu, madini, hewa
- Question 18: Musa alimwitaje mtoto wa kaka yake aliyekuwa amemtembelea?Answer: C. Binamu
- Question 19: Ikiwa walikutana asubuhi, yapi si maamkuzi ambayo wangetoleana? kakaAnswer: D. Masalheri
- Question 20: Waliamkiana Musa atamwita Vipi mke wa mwenyeji wake Musa ambaye amemtembelea? ameanzaAnswer: A. Wifi
- Question 21: Badala ya salamu ambazo Zawadi alizitumia, angemsalimia mwenzake kwa kusemaAnswer: D. hujambo
- Question 22: Kareti anaposema ‘Oh!’ anadhihirisha kuwaAnswer: A. anakubaliana na mwenzake
- Question 23: Kauli, usiwe kama ngiri imetumia tamathali gani ya lugha?Answer: A. Tashbihi
- Question 24: Ni ipi si miongoni mwa sifa za Zawadi ambazo zinaweza kufanya ashinde?Answer: B. Anakatiza wenzake katika mazungumzo
- Question 25: Mada aliyokuwa akipanga kuijadili ZawadiAnswer: B. ilikuwa mada nzuri sana
- Question 26: Nilisikia sauti za ___26___ ya watu waliokuwa kule nje.Answer: B. halaiki
- Question 27: Nilisikia sauti za umati wa watu ___27___ kule nje.Answer: B. zilizokuwa
- Question 28: ___28___ cha kaniki kilikuwa kimetanda kila mahali.Answer: A. Kiza
- Question 29: Giza cha kaniki kilikuwa ___29___ kila mahali.Answer: B. kimetanda
- Question 30: Kurunzi zilimulika ___30___ na kuelekea upande mmoja.Answer: B. mwaa
- Question 31: ___31___ kutoka nje nilipowaona wakipita langoni pangu.Answer: D. Nilikata shauri
- Question 32: Nilikata shauri kutoka nje nilipowaona wakipita langoni ___32___.Answer: A. pangu
- Question 33: Watu wasiokuwa na chembe ___33___ huruma walilipiga zee.Answer: B. cha
- Question 34: Walilipiga zee ___34___ nusura lipoteze fahamu.Answer: B. moja
- Question 35: Kumbe ___35___ jizi lilikuwa likituhangaisha usiku na mchana.Answer: B. ndilo
- Question 36: Maneno thamani na dhamani yana sauti zinazokaribiana. Je, ni neno lipi lenye sauti zinazokaribiana kimatamshi na neno samani? •Answer: B. Zamani
- Question 37: Chaguajibu lenye maana kuwa "Juma alijenga nyumba kwa niaba ya Neema."Answer: C. Juma alimjengea Neema nyumba
- Question 38: Dawati hili ___ litumiwa na wanafunzi.Answer: A. li
- Question 39: Chagua ukanusho wa sentensi hii. Juma angesoma kwa bidii angepita mtihani.Answer: C. Juma asmgesoma kwa bidii asingepita mtihani
- Question 40: Tambuanomino ya dhahania kati ya hizi.Answer: A. Furaha
- Question 41: Ni sentensi gani imetumia ki ya masharti?Answer: C. Ukijitahidi utafaulu
- Question 42: Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.Answer: B. Mzazi hajafika
- Question 43: Chagua wingi wa sentensi hii. Nyumba yake imezingirwa na ua mrefu.Answer: B. Nyumba zao zimezingirwa na nyua ndefu
- Question 44: Chagua ukubwa wa sentensi hii. Ndovu hpyo ana mkonga mrefu.Answer: B. Dovu hilo lina konga refu
- Question 45: Geuza sentensi katika kauli ya kutendana. Watoto walijifunza wao wenyewe.Answer: B. Watoto walifunzana wao wenyewe
- Question 46: Tambua aina za maneno yaliyopigiwa mstari. Wangn walipostaafu walihamia Ej.ijiniAnswer: C. Kiwakilishi, kielezi
- Question 47: Sentensi, 'Wewe ni msomi ilhali mimi ni mkulima.' Sentensi hii ni ya aina gani?Answer: C. Ambatano
- Question 48: Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashihisi.Answer: D. Mlango wa darasa letu ulinikodolea macho
- Question 49: Nomino mbeleko ipo katika ngeli gani?Answer: B. U–ZI
- Question 50: Geuza sentensi ifuatayo iwe katika usemi Wa taarifa. "Mkiwaona wanyamapori msiwaue," afisa alisema.Answer: A. Afisa alisema kuwa tukiwaona wanyamapori