CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 48
Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashihisi.
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Msamiati, Methali na Tamathali za Usemi
Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali
za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia
tashihisi.
- AJuma amepata jiko
- BBaba yake ni simba
- CRuto amekuwa mjanja mithili ya sungura
- DMlango wa darasa letu ulinikodolea macho
Answer
D. Mlango wa darasa letu ulinikodolea macho
The correct option is D.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Nomino mbeleko ipo katika ngeli gani?Question 49
- Geuza sentensi ifuatayo iwe katika usemi Wa taarifa. "Mkiwaona wanyamapori msiwaue," afisa alisema.Question 50
- Kila sikuya Dominika Jamila alifanyanini?Question 1
- Je, nikazi ganikati ya hizihaikufanywanaJamila siku ya Jumapili?Question 2
- Je, unadhani ni nini kingetokea iwapo Jamila hangefanya usafi wa nyumbani?Question 3
- Ni jibu lipi linaloonyesha mfuatano ufaao wa matendo ambayo Jamila alifanya kila siku ya Dominika?Question 4