CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 47
Sentensi, 'Wewe ni msomi ilhali mimi ni mkulima.' Sentensi hii ni ya aina gani?
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Sentensi, 'Wewe ni msomi ilhali mimi ni
mkulima.' Sentensi hii ni ya aina gani?
- AChangamano
- BSahili
- CAmbatano
- DTata
Answer
C. Ambatano
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashihisi.Question 48
- Nomino mbeleko ipo katika ngeli gani?Question 49
- Geuza sentensi ifuatayo iwe katika usemi Wa taarifa. "Mkiwaona wanyamapori msiwaue," afisa alisema.Question 50
- Kila sikuya Dominika Jamila alifanyanini?Question 1
- Je, nikazi ganikati ya hizihaikufanywanaJamila siku ya Jumapili?Question 2
- Je, unadhani ni nini kingetokea iwapo Jamila hangefanya usafi wa nyumbani?Question 3