CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 49
Nomino mbeleko ipo katika ngeli gani?
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Nomino mbeleko ipo katika ngeli gani?
- AI–I
- BU–ZI
- CU–U
- DU–YA
Answer
B. U–ZI
The correct option is B.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Geuza sentensi ifuatayo iwe katika usemi Wa taarifa. "Mkiwaona wanyamapori msiwaue," afisa alisema.Question 50
- Kila sikuya Dominika Jamila alifanyanini?Question 1
- Je, nikazi ganikati ya hizihaikufanywanaJamila siku ya Jumapili?Question 2
- Je, unadhani ni nini kingetokea iwapo Jamila hangefanya usafi wa nyumbani?Question 3
- Ni jibu lipi linaloonyesha mfuatano ufaao wa matendo ambayo Jamila alifanya kila siku ya Dominika?Question 4
- Kauli ‘piga deki’ ni mbinu gani ya lugha?Question 5