CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 37
Chaguajibu lenye maana kuwa "Juma alijenga nyumba kwa niaba ya Neema."
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi, Nyakati na Mnyambuliko
Chaguajibu lenye maana kuwa "Juma alijenga
nyumba kwa niaba ya Neema."
- ANeema na Juma walijenga nyumba
- BNeema alijenga nyumba ya Juma
- CJuma alimjengea Neema nyumba
- DNeema na Juma walijengewa nyumba
Answer
C. Juma alimjengea Neema nyumba
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Dawati hili ___ litumiwa na wanafunzi.Question 38
- Chagua ukanusho wa sentensi hii. Juma angesoma kwa bidii angepita mtihani.Question 39
- Tambuanomino ya dhahania kati ya hizi.Question 40
- Ni sentensi gani imetumia ki ya masharti?Question 41
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.Question 42
- Chagua wingi wa sentensi hii. Nyumba yake imezingirwa na ua mrefu.Question 43